sasa mzinze anakiwango gani kumzidi ahuwa
Wazala wapo busy kubishana kuhusu kuzuia geti la Mkapa.Hahahaha,anacheza sana na Fursa
mzinze anamiaka mingapi?Mzize ana mwili mzuri wa kishambuliaji na ana umri wa kutumika miaka mingi.
Caf champions league inataka washambuliaji wenye miili mikubwa. Kushindana nguvu na mabek mwili nyumba.
Tazama mwili wa mayele kwa mfano
Kuna mmoja hapo mkono hauonekani sijui umeshika wapi
ANYWAY, NASIKIA KUNA MTU KALA NGUMI HUKO
mzinze anamiaka mingapi?
ok.lakini sokoni hana samani kubwa sana kwasababu alishindwa kuwaka kimataifa anawaka ndani tu.Sina uhakika miaka yake. Ila nahisi hajazidi miaka 27.
Acha komedi wewe, Mukwala??[emoji599][emoji599] BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.
De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila kama watamkosa basi watagonga hodi Simba kuulizia huduma ya Dese Mukwala.
Chaguo namba moja ni Mzize na chaguo namba mbili ni Mukwala.
Follow @usajili_na_hansrafael14View attachment 3437585
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mzize Hana penalty goalssasa mzinze anakiwango gani kumzidi ahuwa
Nani Tena[emoji23]Kuna mmoja hapo mkono hauonekani sijui umeshika wapi
ANYWAY, NASIKIA KUNA MTU KALA NGUMI HUKO
Awasimamie watoto wakeWakala sijui anafeli wapi...
Uwezo ndo unaongea mkuuMnawabrand wachezaji wenu kishamba sana
Sawa Mr kolo wizardKwakuwa source ni hans rafael. Baaas hii inakuwa chai
Uwezo.... uwezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila mnajua kuyapa thamani magarasa yenu.hongereni
[emoji23][emoji23]Acha komedi wewe, Mukwala??
Au umeamua kutuchekesha tu.
Mh! Mwaka huu hadi Real Madrid watakuja Maana siyo kwa matangazo haya[emoji599][emoji599] BREAKING: Mchana wa leo Yanga wamepokea ofa ya $1m (tsh 2,485,000,000) kutoka Espérance Sportive de Tunis,ili kumpata Mzize.
De Tunis wanamtaka Mzize haraka sana,ila kama watamkosa basi watagonga hodi Simba kuulizia huduma ya Dese Mukwala.
Chaguo namba moja ni Mzize na chaguo namba mbili ni Mukwala.
Follow @usajili_na_hansrafael14View attachment 3437585
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
hawezi kucheza penalty basi inahitaji ufundi