Ni Moja ya Antivirus bora Duniani. Nimewah kuitumia siku za nyuma. Ila kutokana kuwa ghali nkaAmua kuachana nayo saivi nnatumia Microsoft Security Essential for Free.
Keys zake kwa Mimi nlikuwa nnanua Online. Kwa Dola $29 annually.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums