Kaza vime vyuma
nitakuwa na trip ya matembezi cleveland mwezi December nitakutafuta bossAmerica mkuu, karibu sana
ha ha ha ha ha eti full chuchu madalali mna manenoChek spare tyre hiyo ni fully chuchu chukua gari wewe leta 12m tu tufanye biashara
Irons are tighted
Mbona alie post ni fatuu halafu ww Ivindo unatoa elaboration,ni mtu mmoja auWewe unayo gari mkuu? Au kazi tu kuongea ongea? Be serious bana wewe hapana haribu biasara ya ndugu yako
Mbona alie post ni fatuu halafu ww Ivindo unatoa elaboration,ni mtu mmoja au