Escrow Yaibua Vipaji Bungeni

Escrow Yaibua Vipaji Bungeni

Bi kidude aliishiwa pozi za kuongea kabisaa embu weee naanii wewe endelea.
SIku zote alikua anajiona n9i spika mahiri, ila tuache utani aliokoa UKAWA kutoondoka kuliko six
 
naona unanibania mimi sijafunzwa mammo hayo-Livisngstone Lusinde
 
Chambo: ashiki majinuni
Hawa ghasia: nshazoea kuzomewa, nimezomewa tangu utotoni

Kumbe hawa kakiri mwenyewe kwamba ni mjinga? Thats gud of her nimependa hiyo. Wote tumewahi kuwa watoto na tunaweza kukubaliana kwamba kuzomewa ni adhabu kwa watoto "wajinga" walio bright hawazomewi bali wanapigiwa makofi.

Tunashukuru mama ghasia kwa kuconfirm hili so hatutakusumbua tena bali tutapambana na aliyekupa kazi ambayo huiwezi kwa mujibu wa status yako ya kuzoea "kuzomewa"
 
Tawire sana
kumbe hawa kakiri mwenyewe kwamba ni mjinga? Thats gud of her nimependa hiyo. Wote tumewahi kuwa watoto na tunaweza kukubaliana kwamba kuzomewa ni adhabu kwa watoto "wajinga" walio bright hawazomewi bali wanapigiwa makofi.

Tunashukuru mama ghasia kwa kuconfirm hili so hatutakusumbua tena bali tutapambana na aliyekupa kazi ambayo huiwezi kwa mujibu wa status yako ya kuzoea "kuzomewa"
 
Back
Top Bottom