Escrow: Wabunge waomba muda waumbuane

Escrow: Wabunge waomba muda waumbuane

optimus prime

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
401
Reaction score
287
Hakuna msafi, wanaojiita wapiganaji wa fedha za escrow nao wachafu tu. Wanatuhumiwa kuomba vijisenti kutoka kwa Singasinga, hayo yote tutayajua tarehe 26/11 - 28/11/2014 yakipeperushwa kutokea Dodoma.

Ni ngumu kuamini lakini ndio ukweli wenyewe huo kuwa nyuma ya wapiganaji wetu kuna msukumo mzito wa kupigania maslahi yao ya kiuchumi. Wamo wanaosema kuwa wapiganaji wetu wanatumika na Camp Lowasa, wamo wanaosema wanatumiwa na Mzee MKONO, wamo wanaosema wanatumiwa na Standard Chartered Bank Hong-Kong, sasa sijui ule msemo wa kiswahili usemao " Lisemwalo Lipo " kwa hawa jamaa utaapply au?

attachment.php

Mh. Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera.

attachment.php
 
Attachments

  • lusinde.jpg
    lusinde.jpg
    46.1 KB · Views: 2,249
  • IMG-20141119-WA0005.jpg
    IMG-20141119-WA0005.jpg
    49 KB · Views: 2,307
kwao mi naamini huo msemo lazima utakuwaapplicable tu
 
Haki ya Mtu haichukuliki, hata ukaroge kasulu! fedha ya tegeta escrow itabaki kuwa mali ya IPTL tu.

Na hawa jamaa, waawekezaji walivyomakini kwenye makesi mahakamani, mkicheza na hili mnawalipa kama DOWANS.
 
Singa singa alishawaliza hata wasouth
 
Ubabe wa mamba majini kumbe kiboko ndiye kiboko yake, Rusinde kibajaj anaomba kumuumbua nani wakati rushwa haiombwi kwa makaratas, Mr. Tumbiri akamatiki hata kama kweli aliomba.
 
Mkuu si ameleta ushaidi tu kuhusu uyu jamaa mbona unakua mkali

Mkuu you sound kama mwenye hekima furani hivi, naomba usinifanye nikudharau. Kweli huo ni ushahidi? Na hii ndio Mahakama yenyewe? Hiyo ni south Africa wewe, ambapo hakuna aliye juu ya sheria, Wasinge mchelewesha kama kuna ushahidi kama unavyosema wewe. Turudi kwenye topic mkuu, ESCROW: Wabunge waomba muda waumbuane!
 
Singa singa ni mwivi tangu kitambo
mkuu hizo data zinajazwa tu humo ata wewe ukitaka utajaziwa tu sio singa peke yake!!!!
bwana wako katumbuli alisema singa hatakiwi Kenya alafu mwisho wa siku wakenya hao hao wakampaa mkataba wa kusamba umeme kenya
 
Mkuu you sound kama mwenye hekima furani hivi, naomba usinifanye nikudharau. Kweli huo ni ushahidi? Na hii ndio Mahakama yenyewe? Hiyo ni south Africa wewe, ambapo hakuna aliye juu ya sheria, Wasinge mchelewesha kama kuna ushahidi kama unavyosema wewe. Turudi kwenye topic mkuu, ESCROW: Wabunge waomba muda waumbuane!
hachana naye mkuu huyo anakupotezea mdaa wako! maana hajui ata ushaidi unakuwaje
 
Ubabe wa mamba majini kumbe kiboko ndiye kiboko yake, Rusinde kibajaj anaomba kumuumbua nani wakati rushwa haiombwi kwa makaratas, Mr. Tumbiri akamatiki hata kama kweli aliomba.
ata kamatika tuu mwaka huu we subili tu na tumbili wako
 
hawa wabunge wa ccm ni wachumia tumbo tuu
 
Wanaomba muda zaidi kujadili ripoti au kupata fedha zaidi (posho ya siku) kukidhi mahitaji ya sikukuu zinazokuja na ada za January)

Kwakuwa taarifa ya uchunguzi itakuwa na mapendekezo, siku moja inatosha sana kuridhia hayo mapendekezo ya CAG
 
mkuu mjini hapa watu wana piga kutokana mazingira uliyokuwepo
 
Wanaomba muda zaidi kujadili ripoti au kupata fedha zaidi (posho ya siku) kukidhi mahitaji ya sikukuu zinazokuja na ada za January)

Kwakuwa taarifa ya uchunguzi itakuwa na mapendekezo, siku moja inatosha sana kuridhia hayo mapendekezo ya CAG

Wacha muda uongezwe mkuu taarifa ni kubwa sana mkuu, siku moja haitoshi kabisa wala hizo tatu hazitoshi sababu miongozo itakuwa mingi sana kutoka kwa camp Kafulila.
 
Hivi Hali ya Mkuu wa kaya inaendeleaje maana wananchi Ni kama hamuoni kuwa dingi anaumwa nyie muna kazi ya kuongelea tu mambo ya hela.........
 
Nasikitika kwamba,watuhumu nao wameingia kwenye kashfa,hali ipo mbaya sana hapa dom.maana kila mbunge ana msimamo wake..Lakini inavoonekana kuna siri kubwa inakuja kufichuka mbeleni maana hata baadhi ya wajumbe wa PAC wanaonekana wana wasiwasi sana
 
Back
Top Bottom