Escrow tuachane nayo,tufanye mengine

Escrow tuachane nayo,tufanye mengine

Hapana, mtujulishe kwanza. Kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. Rais akikataa kutekeleza maazimio ya bunge, nini kinapaswa kufanywa na bunge? Hauwezi kuanzishwa mchakato wa impeachment?

Umpeachment sasa hivi ? Kisa Rais hakumfukuza Mhongo? Kwani kuna ushahidi unao inesha Muhongo kala fedha ? Hii fedha ni ya iptl bwana tulilotosha tu.


Hamna over charged ni ubishi tu wa Tanesco. Ni ushauri mbovu tu ulokuwa wakipewa na Nkono & co.
Hawa Mkono walijua hakuna njia ya kuzila fedha za Tanesco ila ku create mgoogoro ...ambao utaendelea muda mrefu na wao wafaidike kuchota fedha za kesi ambayo wanajua wazi Tanesco haishindi.
Mkono akajichotea 73 billion na alitamani aendeleee.
Huyu huyu mkono ndio alikuwa na BOT katka kesi ya Valambia amekula fedha nyingi kuliko ujenzi wa Twin tower za BOT.
hivyo hoja hii over charge ni mbinu za mawakili wasio waaminifu kwa wateja wao.
Angeweza kabisa kuja na reasonable suggestion kwa iptl kupunguza gharama zile ...lakini alikuja na defence ya kitoto kabisa ati mtaji wa iptl ni 50000 ! Machine zile kujenga na miundo mbinu ni 50000 tu ...alikusudia kuitapeli Tanesco.
Fedha zile ni za Iptl zilicheleweshwa tu kupewa wenyewe kutokana na utapeli wa kina mkono
Rais amelisemea kila jambo la mapendekezo ya PAC .
Ameyatolea uamuzi yote.
Na yale ni mependekezo sio hukumu ana hiari ya kuamua anavo ona inafaa .
 
Back
Top Bottom