ESCROW scandal: Pinda apata watetezi


Avute kumbukumbu!

Kagasheki alikutwa na bunduki akiua katika operation tokomeza?

Principle ya Equity and Fairness itachukua mkondo wake!
 
Pinda hajaiba ila amebariki uwizi ufanyike huku akijua wazi kuwa ni kosa
 


Hata humu me nimesikiliza report yote ile na michango ya watu wengi humu jf hakuna tangible reason zaidi tu ya chuki na kwa vile alivyosema hela si za umma,hebu sa tujiulize hiv tu,au ndo #teamlowassa , hii haikubaliki kwa kweli.
 
Hata mimi naona anaonewa...The OK to this deal was given by the president
 

Huwezi ukasoma nakuelewa kilichomo katika ripoti fupi ya PAC ukiwa na misimamo yako ya kumtetea Pinda et al. Nasikitika ikiwa hii fupi umeshindwa kuielewa ukija kupewa ile ya CAG utaielewa kweli?
Huruma!!!
 
Hata humu me nimesikiliza report yote ile na michango ya watu wengi humu jf hakuna tangible reason zaidi tu ya chuki na kwa vile alivyosema hela si za umma,hebu sa tujiulize hiv tu,au ndo #teamlowassa , hii haikubaliki kwa kweli.

Msipende kusingizia Team Lowasa au Team...... Huo ni udhaifu wa watu dhaifu!Kama angetekeleza wajibu wake wa Kikatiba,na kuwasimamia wadogo zake vzuri,haya yasingetokea!Pia km kiongozi,huwa anajisahau kwa kutoa statements ambazo hakustahili km kiongozi mkubwa ndani ya Serikali.Kiongozi anapaswa ku neutralize mambo badala ya kutoa kauli za pande moja.Kusema fedha si za umma,alikuwa anajuwa ukweli,sasa zimethibitishwa ni za umma,kiongozi km huyu kashalidanganya Bunge,bado ana credibility ya kuwa katika cheo km hicho?Tuache kuchukulia mambo kirahisi hivyo,kwa wenzetu angekuwa kawajibika siku nyingi hata bila ya kusubiri kupelekwa bungeni.Kwa mtindo huu tutaendelea kubaki masikini miaka nenda rudi,kwa ushabiki usio na maslahi mapana ya nchi yetu!
 
:A S-rap:Wamtete tu huyo Pinda, ndipo tutatoa hata ule ushahidi wa wazi wa jinsi alivyo pata mgao, afadhali waache tu maana yataibuka makubwa
 
Anapoteza muda. Swala la hatua gani zitachukuliwa dhidi ya wezi hao linaweza lisiwe muhimu sana kwa sasa lakini angalau Watanzania wamewajua wezi wao.
 
Mbona jana alilia kama kweli ni innocent, si alilia kujutia makosa yake.
 
:A S-rap:Wamtete tu huyo Pinda, ndipo tutatoa hata ule ushahidi wa wazi wa jinsi alivyo pata mgao, afadhali waache tu maana yataibuka makubwa

Mlinyo na nongwa nyie.
Muwe na ushahidi kama huo msiuweke?
Acha porojo.
 
ilivyo ni hivi wafadhili wamezuia misaada kwenye bajeti kuu wanaona mchezo unaoendelea hapa bungeni ,wanaona udhaifu wa spika kudakia maswali na kumpa mwongozo waziri mkuu jinsi ya kujibu ,wananchi macho masikio yao yapo dodoma wakitegemea watu wazima wafanye maamuzi ya kuwajibika ,hospital zipate dawa ,wapate maji safi ,barabara nzuri ,suala hili pia litaamua mwelekeo wa ccm 2015.
 

Itakua ni upumbavu wa hali ya juu kwa hao waheshimiwa kama watatumika kumtetea pinda,kwani wamesahau wiki chache tu Pinda alisema hapo bungeni kua hiyo hela si ya Umma?!,vilaza kweli,Kwani Tanesco ni mali ya nani?
 
Mimi nashauri Mizengo Pinda apinduliwe kwenye hiyo nafasi yake.Pia Profesa Jakaya abaki hukohuko aliko asirudi kabisa kwa sababu yeye kama mkuu wa Pinda kwa nini hakujua juu ya wizi huu wakati ana intelijensia ya kutosha kujua vurugu na uvunjifu amani ktk maandamano ya CDM?.Prof JK asirudi na Pinda apinduliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…