Katika hali isiyo kawaida wakati wabunge wakitoa miongozo yao baada ya kipindi cha maswali na majibu Zitto Kabwe kasema yaliyotokea katika sakata hili la Tegeta Escrow a/c linaweza kufanyika tuu katika NCHI AMBAYO HAINA UDHIBITI WA VYOMBO VYA DOLA pekee. Na akatoa mfano kama Congo,Somalia au Siera Leone.
Hii inamaanisha kuwa yaliyofanyika ni madudu ya ajabu kupata kutokea na kuwa viongozi hawakuwa na hofu na dola. Jee hili halimgusi mkulu mwenyewe maana wateule wake wameamua kumdharau kabisa
Kashifa kama hii iliwahi kutokea inchi ya Zimbabwe miaka ya 80-90, ilibidi waziri mmoja ambaye namfahamu kwa jina alikuwa anaitwa MOURICE NYAGUMBO, Kashifa (scandal) ilimwelemea sana akawa hana uamuzi mwingine bali kujimaliza, alikula packet za sumu ya panya 16 akafa. Kwa hiyo naomba Jaji Warema aangaliwe sana , awe chini ya uangalizi round the clock, asije akachukua maamuzi magumu.
Escow itadhoofisha team WAMA na team MIZINGA hivyo watajibeba EL Yuko viunga vya wizara elimu anabisha hodi getini magogoni muda mfupi ujao.
Rais wa ukweli na wa Maamuzi huku Prof busha akianza maisha ya kashfa mtaani na kina team WAMA na MIZINGA wakisikiliza redio Tanzania EL akihutubia na bunge likiendeshwa siwapatii picha watajibeba
Ndugu mshumbue kumbe siku hizi tezi dume ni busha? Hebu acha hizo kama akili huna hat a common sense tu? Samahani kwa hiyo sentensi maana mwenyewe nina mgonjwa wa kansa ya tezi dume ilihali hajawahi kupata busha. Prof Busha?? Kama unataka kumtusi Kikwete usiwatusi na wengine please.Escow itadhoofisha team WAMA na team MIZINGA hivyo watajibeba EL Yuko viunga vya wizara elimu anabisha hodi getini magogoni muda mfupi ujao.
Rais wa ukweli na wa Maamuzi huku Prof busha akianza maisha ya kashfa mtaani na kina team WAMA na MIZINGA wakisikiliza redio Tanzania EL akihutubia na bunge likiendeshwa siwapatii picha watajibeba
Watanzania tulifanya makosa sana mwaka 2010 , haya tuyoyashuhudia leo ni adhabu kwa kutojali hofu ya Mungu.
Tumepata adhabu waliyopewa wana wana wa Israeli kwa kutofuata sauti ya Mungu.
Jiwe walilo likataa waashi leo limekuwa nguzo kuu kwa kuwatetea wananchi
Mjadala huu unajadiliwa lini bungeni nijiandae mieee!