Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Wakuu nimeona kwa vile sio wote wapatao nafasi ya kusikiliza au kuangalia mijadala ya Bunge letu kutokana na sababu tofauti tofauti basi si vema wakanyimwa kujua kinachoendelea ili kuwajua Wabunge na mawaziri wetu wanasema nini kuhusu jambo hilo kubwa kupata kulitokea taifa hili.
Ni kubwa kwa vile wananchi wengi wamekosa huduma mbali mbali hata wengine wamepoteza maisha kwa vile wahisani wamekataa kuchangia bajeti na ukweli ni kuwa sie hatujiwezi katika mambo mengi a msingi.
Thread hii itaweka pamoja yote yanayojadiliwa kwa pamoja ili wakati ukifika tutawapongeza watetezi na wanchi au kuwaponda wale wasaliti.
Tuanzie sasa kwa chochote kitakachotajwa kuhusu Escrow scandal.