Hapa kuna kambi mbili tena wengine huwa ni maadui lakini ktk hili sakata wameungana kwa mda ili wakimaliza lengo kila mmoja aludi kule kwa zamani. Kuna Kambi ya Mhongo,naibu wake,mawaziri wa zamani wa nishati,Maswi,Werema, Tibaijuka, pinda na wenzao kibao. Kuna kambi ya Mzee mengi, mkono, Zito, kafulila na wenzao wakiwemo wahindi kibao wenye Mgongano wa kimasilahi huko wizara ya Nishati. Hapa wengi si kwamba wana Uchungu na IPTL Bali wana usongo na Waziri Mhongo baada ya kuwanyima Vitalu vya Gesi huku Mkono akinyang'anywa Tenda za kisheria ameungana na Mzee mengi kupambana na Mhongo kwa nia ya kupigania Masilahi Yao Binafsi lakini sasa wanasaka Huruma za watu ili wawasaidie kujinufaisha. Hilo kundi la Werema wao wanatuhumiwa kujitotea mkwanja wa IPTL peke Yao pasipo kuwamegea akina Mkono ndiyo Maana wahindi wapinzani wa Yule Singasinga mmiliki wa IPTL wamechanga Pesa wakampatia Mengi akawapatia Zito na kafulila ili wapaze Sauti akiamini Kuwa Mhongo atajiuzulu na yeye kujitwalia Vitalu vya Gesi kiulani, Hapa kikubwa ni Mgongano wa Masilahi Kati ya Mengi na Mkono. vs Maswi na mkono, Wenye Uchungu na pesa ni Wananchi pekee lakini hao akina Mkono wapo after money tu.