Escrow kuwang’oa Chenge Ngeleja, Mwambalaswa

kama safari ni ndefu acha iwe ndefu zaidi waislam wamechoka,Sheikh Ponda ananyanyashwa kwa sababu ya kutetea mali ya waislam lakini waliokula pesa za Escrow wanaachwa. kwa waislam kuamasisha kuikataa ccm sio agenda ya siri inatakiwa iwekwe wazi na ccm wajue hilo

Don't bring frustrations to our legal system. Kama kuna uonevu waislamu wanauona kwenye current legal system basi kuna levels mbalimbali za kimahakama ambapo wanaweza kupeleka malalamiko yao. Raisi, Makamu wa Raisi, Jaji Mkuu, Attorney General wote ni waislamu, sidhani kama wangeweza kukubali uonevu kwa waislamu; so muwe mnaridhika.. Kila mtu akilalamikia dini yake, hatutafika nchi hii.

So shut up and work to develop the country kama mtanzania and not kwa kutazama "mimi muislamu" , "yule mkristo". Wakristo, mabudha nao wakianza kulalamika mambo ambayo yako evident kabisa (yamekaliwa kimya tu), sidhani kama nchi hii tutakuwa tunaijenga kwenye misingi ya amani, bali ya fujo. Acheni kuichafua hii nchi...
 
Kuwa na mtazamo wa mbele wewe!! yako mambo ya mhimu zaidi kuliko hilo!!
Serikali haina dini!!
nadhani utasubiri sana!!

Mijitu inayopenda udini udini inanikera mimi... Nahisi wewe hajakuboa kama mimi.. Yaani badala ya kufanya kazi kama watanzania katika kutatua matatizo lukuki yanayotukabili, tuanze kuangalia dini ile dini hii.. Upuuzi mtupu..

Hapa uchumi wa nchi umeshake kabisa, currency yetu inachechemea, fuel prices ndio hizo tena, rushwa ndio usiseme, madawa hospitalini hakuna, wanafunzi wanakaa chini, vitabu mashuleni hakuna, miundombinu mibovu mpaka haielezeki, kuna watu hawajui maji nchi hii.. Then mtu anakurupuka huko anataka kuishinikiza serikali kuweka sijui mahakama ya kidini; angeniambia tuishinikize serikali kutatua matatizo kama hayo ya elimu, rushwa n.k. ningemuona ana mtazamo chanya...
 
Don't bring frustrations to our legal system. Kama kuna uonevu waislamu wanauona kwenye current legal system basi kuna levels mbalimbali za kimahakama ambapo wanaweza kupeleka malalamiko yao. Raisi, Makamu wa Raisi, Jaji Mkuu, Attorney General wote ni waislamu, sidhani kama wangeweza kukubali uonevu kwa waislamu; so muwe mnaridhika.. Kila mtu akilalamikia dini yake, hatutafika nchi hii.

So shut up and work to develop the country kama mtanzania and not kwa kutazama "mimi muislamu" , "yule mkristo". Wakristo, mabudha nao wakianza kulalamika mambo ambayo yako evident kabisa (yamekaliwa kimya tu), sidhani kama nchi hii tutakuwa tunaijenga kwenye misingi ya amani, bali ya fujo. Acheni kuichafua hii nchi...

kwa hiyo kwa maoni yako watu wavumilie tu,hata kama wanaonewa wasije wakaonekana wanaudini basi kama hivyo ndivyo ilivyo basi tuwaachie mafisadi wazidi kututawala, waislam kuonewa sio kwa kuwa rais ni mkiristo au muislam ni mfumo wa ccm na serikali yake, na kama rais hataki kufuata mapendekezo ya bunge atawezajekuwasikiliza waislam
 
Laana yote hii tunayoipata ni kukataa Tanganyika....
Pia Ndugai atuambie jimboni kwake waliopita bila kushindanishwa kwenye sanduku la kura ni asilimia ngapi?
 
Don't bring frustrations to our legal system. Kama kuna uonevu waislamu wanauona kwenye current legal system basi kuna levels mbalimbali za kimahakama ambapo wanaweza kupeleka malalamiko yao. Raisi, Makamu wa Raisi, Jaji Mkuu, Attorney General wote ni waislamu, sidhani kama wangeweza kukubali uonevu kwa waislamu; so muwe mnaridhika.. Kila mtu akilalamikia dini yake, hatutafika nchi hii.

So shut up and work to develop the country kama mtanzania and not kwa kutazama "mimi muislamu" , "yule mkristo". Wakristo, mabudha nao wakianza kulalamika mambo ambayo yako evident kabisa (yamekaliwa kimya tu), sidhani kama nchi hii tutakuwa tunaijenga kwenye misingi ya amani, bali ya fujo. Acheni kuichafua hii nchi...

kwa mtazamo wako wa kimagamba hata watu wakionewa wakae kimya tu,ili mradi wanaonewa kupitia dini zao
 
kwa hiyo kwa maoni yako watu wavumilie tu,hata kama wanaonewa wasije wakaonekana wanaudini basi kama hivyo ndivyo ilivyo basi tuwaachie mafisadi wazidi kututawala, waislam kuonewa sio kwa kuwa rais ni mkiristo au muislam ni mfumo wa ccm na serikali yake, na kama rais hataki kufuata mapendekezo ya bunge atawezajekuwasikiliza waislam

Hebu usielete kero kwenye hii nchi..

Swali la msingi; niambie ni muislamu gani amefanya kazi kwa bidii nchi hii akaonewa..? Au mnafikiri yanayofanyika nyuma ya pazia watu hatuyaoni..? Yaliyokwishakufanyika au mapungufu yaliyotokea yanatosha; iacheni hii nchi iwe na amani plzzzzzzzzzzzzz....
 
rP8NLhqgsTNw6iAAAAAASUVORK5CYII=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom