ipo hivi, pesa yote inarudishwa kiaina sasa kwa kujenga shule badala ya kumpa MwiguluNi watoto wa kina nani wanasoma hapa? Ipo mkoa gani? Hahahaha ni Tibaijuka au ya Chenge? :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
usajili wake ni Bungeni
Seth Mamoto wa Majembe Auction Mart au seth yupi huyo aliyekuwa na hiyo A/C ya Escrowhiii shule ipo iringa na wanafunzi wanasoma iliitwa kabla ya sakata....la uvunaji pesa ila mmiliki wa shule hi ni seth boss wa escrow ndio mali yake