Habari
Biashara ya mtandaoni imekuwa kuwa sana sasa hivi ambapo wateja na wauzaji wanatafutana mtandaoni. Changamoto kubwa sana ni auminifu kati ya mnunuzi na muuzaji, Je kwanini kampuni za simu na zinachelewa kuanzisha Escrow account kwa wateja wa mitandao ya simu?