einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,685
Ngoja waje uone povu linavyowatoka... hizi imani zilileta false knowledge na kuwafanya watu watumbafu.. the bible is grossly inaccurate and misleading..
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
Kwanza angalia vizuri quatation ya chapter na verses kuna jambo unachanganya. Lakini ukitaka kuona maajabu jiulize kuku na yai lipi lilianza ukipata jibu. Utajua kwa nini jua, nyota, viumbe vingine vimeumbwa kwa kufuata logic ya mtengenezaji na sio logic yetu baada ya uwepo wa vitu hivyo.
Kingine kama we muumini mzuri chapter 1 hadi 7 ya kitabu cha mwanzo kuna mambo hata science imeshindwa kuyaweka bayana,hivyo yanaachwa kama yalivyo

Dini ni imani tu..lakini kisayansi si kweli kabisa
wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha "mwanzo" ni scientifically accurate...si kweli
hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji
mfano,mwanzo 1:3-5
"Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita usiku"
uwepo wa mchana na usiku unategemea uhusiano wa vitu viwili,jua na dunia
lakini kulingana na biblia,jua pamoja na nyota zote ziliumbwa siku ya nne(ref;mwanzo 1:14-19)
sasa usiku na mchana vilikujaje siku ya kwanza?
mwanzo 1:9-13
Mungu anaumba majani,miche itoayo mbegu na miti katika siku ya tatu
kwa utashi wa kawaida tu,hakuna mmea unaoweza kuishi bila photosynthesis.Mojakati ya requrements muhimu ya photosynthesis ni mwanga wa jua,lakini jua liliumbwa siku moja
baadae
mwanzo 1:14-19
Mungu anaumba mianga(chazo cha mwanga) miwili mikubwa yaani mwezi na jua,kisha mwezi utawale usiku
lakini mwezi hautengenezi mwanga wake bali unaakisi mwanga unaotoka kwenye jua
wakristo mnahitajika hapa tafadhali!
Hiyo kitu ni supernatural.
Ni kosa na haifai kuacha kitu kama kilivyo, jukumu la binadamu ni kuwaza pasipo limit, na kutatua matatizo yake yanayomface akiwa hapa duniani. Dini za wazungu zinazuia watu kufikiri ndio maana hata wewe na wengine wengi hamuoni tatizo kuacha kitu kama kilivyo. Haya mambo ya kiimani ni mtu binafsi na akili zake, ngumu sana kuelewana, unaweza elezea Sikh nzima MTU asikuelewe jambo jepesi.
Dini ni laana, zimeletwa na binadamu kwa madhumuni ya waletaji, hivyo yatupaswa kuzikataa.
Pctr speaks louder and is well understood
Ngoja waje wafia dini
That's your own making! What Christians believe is that biblical narratives are inspired and may not necessarily be factual (explaining what exactly happened eg God fashioning Adam from the earth and Eve from Adam's ribs), but theological (explaining what's behind the narrative - that we come from him). If we read that God created the world in six days and rested on the seventh, it doesn't mean he followed the calendar we have today because at the time he created there was no calendar (no Monday-Sunday). It's also the case that the narratives are in a chronological order, but are arranged according to themes.
Huyo ndio Mungu bhana. Hata Malaika wa mbinguni hawamjui sawasawa sembuse wewe?
teh teh teh!
mkuu PETER,hao wafia dini ni arrogant sana
cha zaidi watatoa matusi tu maana ndiyo kitu wanachokijua.