Error Pess 2017 "unable to initialize steam api"

Error Pess 2017 "unable to initialize steam api"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Wakuu tusaidiane hapa .
Nimeinstall pess 2017 vizuri kabisa ila wakati wa nalifungua ikaja hiyo Erro...tajwa hapo juu ...Kwakweli limedisappoint .. kifile chenyewe nakiona knwye Crack file nimejaribu kukacopy pale mwanzoni kwnye mafile ya setup lakini bado.
Nimeangalia solution moja youtube lakini wap ..

Embu tusaidiane mwenye muongozo.

Ahsanteni.
 
copy mafile yote ya crack sio hicho ki file tu then paste kwenye directory ya game,
 
vifile vya crack ni vitatu tu .
na nimevipate direct hapa kwnye Pes file mwanzoni kabisa .....lakini bado....[emoji35]
ukivipaste una replace na bado? hakuna instruction nyengine zozote? maybe sio vyote vinaenda kwenye directory main maybe kuna chengine kinaingia kwenye sub folder, kutakuwa na file la maelekezo hujaliona.
 
hakuna mkuu ..
 
Back
Top Bottom