Habari zenu wana tech &gadgets,
Nina modem ya voda. Nimeitumia huu ni mwezi wa pili sasa, lakini inaanza ku-gererate errors za ajabu. Nikiiweka kwenye laptop yangu inaleta error inayosomeka:" Vodafone Mobile Broadband has encountered a problem and needs to close. We are sorry...." Halafu kweli inajifunga! Nina-restart computer na ku-reinstal modem na mambo yanaenda sawa.
Je, wataalam, tatizo ni nini? Kila ikisumbua nina-restart na kureinstall na vyote hivi ni usumbufu mkubwa. Nifanye nini cha maana kuondokana na usumbufu huu?