Error f61

Mocrana

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
536
Reaction score
122
naomba msaada kwa anayejua au aliyewahi kukutana na kitu kama hiki kwenye home theatre ya panasonic, kila nikijaribu kuiwasha inaonyesha F61, halafu inarudi kwenye sand by mode, je tatizo ni nini, maana likuwa inafanya kazi vizuri tu tangu niinunue
 
angalia nyuma ya speaker yako kuna fan ndiyo itakuwa mbovu nadhan f61 ina maana theatre yako ina tatzo la fan isafishe au kama ni mbovu weka mpya
 
yaho best answer-fan

how to mend it


kwa msaada na hisani ya Gooogle.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…