erolink upumbavu mtupu na matapeli

erolink upumbavu mtupu na matapeli

blix 2

New Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
3
Reaction score
2
hawa jamaa majuz waliwaita jamaa kwenye oral ya customer care,jamaa wakafanya oral wakafaulu wakapewa makabrasha ya kujaza wakamaliza wakaambiwa j3 waende mlimani city tayar kwa training for that post sasa bas what happens next was stupid ikawa hivi, kufika pale kwanza wakazungushwa sana na dada 1 walioambiwa wamuone tangu saa 2 asubuh had saa 4 asubuh, mwisho wa siku yule dada akawackiliza alichowaambia ni kwamba waingie kwenye intaviw nyingine ya oral tena eti kweny kitengo cha sales and marketing ili waende mtaani wakauze modem na lain, kurud kule erolink moroco kuwauliza eti wanasema 2meamua kuwapeleka huko na hili limekuwa ghafl! kweli jaman hata kama kuna tatizo la ajira ndo a degree holder akafanye hivy tena kwa shling 3500, jaman kibaya! kwann iwe ghafl eti 2mectisha mkataba duuuu hawa jamaa hawafai
 
sasa modem na laini mnataka ziuzweje?
hiyo sio sales?
 
Degree unaweka pembeni then, unapiga mzigo kwanza huku unatengeza njia
 
hawa jamaa majuz waliwaita jamaa kwenye oral ya customer care,jamaa wakafanya oral wakafaulu wakapewa makabrasha ya kujaza wakamaliza wakaambiwa j3 waende mlimani city tayar kwa training for that post sasa bas what happens next was stupid ikawa hivi, kufika pale kwanza wakazungushwa sana na dada 1 walioambiwa wamuone tangu saa 2 asubuh had saa 4 asubuh, mwisho wa siku yule dada akawackiliza alichowaambia ni kwamba waingie kwenye intaviw nyingine ya oral tena eti kweny kitengo cha sales and marketing ili waende mtaani wakauze modem na lain, kurud kule erolink moroco kuwauliza eti wanasema 2meamua kuwapeleka huko na hili limekuwa ghafl! kweli jaman hata kama kuna tatizo la ajira ndo a degree holder akafanye hivy tena kwa shling 3500, jaman kibaya! kwann iwe ghafl eti 2mectisha mkataba duuuu hawa jamaa hawafai
blix first degree is just an educational level you need to go further to specialize in your profession choice otherwise you will be treated just like Form VI, Form IV or Standard VII leaver
 
Last edited by a moderator:
hawa jamaa majuz waliwaita jamaa kwenye oral ya customer care,jamaa wakafanya oral wakafaulu wakapewa makabrasha ya kujaza wakamaliza wakaambiwa j3 waende mlimani city tayar kwa training for that post sasa bas what happens next was stupid ikawa hivi, kufika pale kwanza wakazungushwa sana na dada 1 walioambiwa wamuone tangu saa 2 asubuh had saa 4 asubuh, mwisho wa siku yule dada akawackiliza alichowaambia ni kwamba waingie kwenye intaviw nyingine ya oral tena eti kweny kitengo cha sales and marketing ili waende mtaani wakauze modem na lain, kurud kule erolink moroco kuwauliza eti wanasema 2meamua kuwapeleka huko na hili limekuwa ghafl! kweli jaman hata kama kuna tatizo la ajira ndo a degree holder akafanye hivy tena kwa shling 3500, jaman kibaya! kwann iwe ghafl eti 2mectisha mkataba duuuu hawa jamaa hawafai

Ukiona manyoya ujue kaliwa.
 
Kauzeni modem nyie hacheni ubishoo,mtaendele kuzunguka na vijibahasha kwenye viunga vya posta hadi lini?
 
Ni kweli hii hata jana nimeisikia mmoja akilalamika. Wanazunguka mitaani kuuza line za vodacom, na wamesaini mkataba wa siku 24!
 
This is unfair kabisa mbona wawafanye hivyo kama watoto wadogo, kwakweli huo ni uinyanyasaji tena mkubwa sana! Polen sana msijali mtafanikiwa tu Mungu yupo atawasaidia na mtapata kazi nzuri bila kunyanyaswa na mtu awae yoyote!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hyo ilikua strategic mana mngeambiwa tangu mwanzo mngepiga kazi chini...
 
Ha ha! Ucnikumbushe hao jamaa. Wazushi tu. Walinizngua sana kabla cjapata kazi.
 
Back
Top Bottom