Ernest Mgawe: Uchaguzi wa CHADEMA kwenye ulimwengu wa kiroho, ulikuwa ni uchaguzi wa Mungu na Dola

Ernest Mgawe: Uchaguzi wa CHADEMA kwenye ulimwengu wa kiroho, ulikuwa ni uchaguzi wa Mungu na Dola

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Kibamba Ernest Mgawe amesema katika uchaguzi wa chama hicho ulifanyika Januari 2025 ulikuwa na upande pili upande wa kiroho na upande wa kimwili.

Ambapo kwa jinsi ya kimwili uchaguzi ulipoisha wale wale viongozi walipaswa kuendelea kushirikiana lakini wao walianza misuguano na hata wengine wakahamia vyama vingine.

Lakini kiroho tangu uchaguzi ulipoisha wa CHADEMA imekuwa na misukosuko sana, na hii ni kuwa dola ni kama wanataka kuiwa CHADEMA mfano CHADEMA imezuiwa kufanya shughuli zake za kisiasa

 
Na tangu uchaguzi wa uchadema ulipofanyika hakujawahi kuwa shwari huko ccm.
 
Back
Top Bottom