Eritrea Yaipiga Stop Misaada Ya UN

Selwa

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
543
524
Nchi Za Afriika zaanza kutathmini..hivi hii misaada ya mabillioni ina faida kweli? zaidi ya kuendeleza umaskini na kudidimiza hali ya umaskini kwa kufumba akili ya watu ya utengenezaji... Pesa Zimemwagwa kwa miaka 50 nchi bado iko vile vile...
pia misaada inasaidia sana lakini...je ina umhimu ikiwa bajeti ya nchi inategema asilimia 50 misaada?
Ukweli ni Kwamba the more aid a country receives, the more likely it is to be locked into a cycle of increasing poverty.

Mwandishi alisema..
The First African Country to actually stand up against AID....
A letter was sent on January 26th sent by Eritrea's minister of finance Berhane Abrehe to the UN saying "aid only postpones the basic solutions to crucial development problems by tentatively ameliorating their manifestations without tackling their root causes. The structural, political, economic, etc. damage that it inflicts upon recipient countries is also enormous." In other words, the government argues, U.N. aid does more harm than good....Whenever someone points out the effects of AId and says how bad it is..they're thought of as inconsiderate pricks...there you have it...from the horses mouth... This is a strong bold move and I'm all for it, stopping aid will mean the country will have to learn to sell itself to the outer world to rely on its own income, its own resources and its own workforce...to improve its agriculture and all other resources on its own and concentrate on its economic problems and how to solve them without waiting Aid to solve them...this will be like an economic wake up call...and this wake up calls for alot of hard work...hard work that was shadowed by aid...alot innovation, alot of investments, a lot fixing patches will be involved.
But is it too early for African countries to start saying NO to AID...will they go running back?...how will they hold up without AID..
Read the Letter sent to the UN

1-efdaba27b5.jpg


2-6235698521.jpg

Y
Soma habari kamili hapa Eritrea to U.N.: Take This Aid And Shove It - FoxNews.com
 
Hii ndio nchi pekee duniani inayoongozwa na watu wenye akili.
Hongera Eritrea.
 
Kama wataikataa hii misaada kwa miaka 50 ijayo watakuwa mbali sana!
 
Wamefanya la msingi sana, serikali haziumizi vichwa zina depends on aid hata kwa vitu vinavyowezekana. Good start.
 
this is a good and bold move!
Paka ukizoea kumpa Chakula, tena kwa kumpangia ale nini, ukifika muda ule wa msosi atakuja huku akilia nyauuu...nyauuu. Lakini ukiacha kumpa chakula, siku mbili tatu za mwanzo atapata shida lakini baada ya hapo ataanza kuwinda mwenyewe, panya, atavizia hata vindege, au ataenda jalalani kujitafutia msosi. at the end atakuwa free bila kukutegemea. na hivi ndivyo inavyotupasa tuwe.
Hii misaada ni ya kimtego ili kuendelea kutufanya tusurvive, tusife njaa ili tukose akili ya kuzitumia rasilimali zetu kujikwamua na hivyo wao wanakuja tu kujichukulia kiulaini. ila tukiwa na njaa ndo utaona jinsi tutakavyozijali dhahabu zetu, mbuga zetu kwa maana hivi ndo vitakuwa nyenzo za survival yetu.
 
Wajemeni!!
Mkulu wetu anasema kama yeye ataacha kwenda kutembeza bakuli tutakufa njaa!!!

Kuna mtu aliye karibu nae amtolee copy ya hii barua ili aione? Huenda kajifunza kitu hapo!!

Haya wale wana-inteligensia ifanyieni hii barua kazi , mumfikishie ili na gamba la utegemezi wa misaada, fedha za wafadhili livuliwe pia!!
 
Eritrea mnastahili pongezi, na nchi nyingine zifuate huo mfano. Naamini nchi yoyote ikiamua
 
Eritrea yastahili pongezi tena kwa kuvuliwa kofia. Naamini nchi yetu ya Tanzania kweli ni maskini lakini misaada c lazima for its survival. Ni kua tu na viongozi wenye focus na waliopo kwa ajili ya watanzania na kuhakikisha sekta muhimu (after all zote ni za muhimu mana zina affect maisha yetu) zinaendeshwa an watu ambao kweli ni fani zao na wako responsible. Sio ooh huyu mtoto wa nani, oh huyu chama gani - we can not afford kuishi hivyo alafu tukategemea kuendelea.
 
please foward this letter to magogoni...coz tz kwa uongoz tulionao ni saw kabisa na ile biashara ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia..uranium kwa vyandarua..gv m a break...
 
Back
Top Bottom