Erick Shigongo ni bora ungekaa kimya tu

Shigongo ni kati ya wachumia tumbo na ujue hadi sasa ccm hawaja mlipa elaa zake alizo chapia fulana zao
 
Ila kila kitu kinatajirisha Shigongo katajirika kwa kuharibu maadili tu kwa kutumia vipeperushi vyake
 
Ana Co.ya kubet.

Majarida(Magazeti) yenye picha za ngono/story ya kwake.

Ukumbi wa dar live(uwanja wa fisi umehamia huko siku hizi) ni wake pia.

Na bado huyu bwana anajiita mlokole huku akikemea na mapepo kabisaa yaani full usanii tu.
 
Anajisogeza kwa Magu ili lile jimbo alilokatwa kipindi kile anagombea ubunge aweze kufikiriwa huko 2020
 
Umeongea ukweli sana,wanataka wote tufikiri kwa aina moja
Na siyo kufikiri tu, wanataka madaraka!
Wanajua kwa kura hawawezi!
Chaguzi ndogo zimeshatoa indication kuwa hata mjini kama Kinondoni hawauziki.
Sasa wanalazimisha vurugu na maandamano !
Eti Rais aliyechaguliwa kwa kura(Sauti ya Wengi) hafai! Alafu wao wanaoendesha chama kidikteta hadi wanakimbiwa na viongozi wanajiona wanafaa! Hii dunia haiishi maajabu!
 
Sshigongo ni mse....nge....rema kama wengine tuu...HIVI ANAKUMBUKA ALIVYOAMBIWA KUNYWA MAJI MWANANGU?....leo analeta dharau kwa viongozi wetu wa dini eti waongee na muhutu...over our dead bodies....YESU HAKUWAHI KUOMBA HURUMA YA PILATO...kamwe viongozi wa dini hawatompigia goti herode awape msamaha au kibali cha kuishi...KUISHI KWAO KU KATIKA KRISTO YESU NA SIO MWANA DAMU.
 
Mkuu nauchukia sana unafiki!! Hiyo nchi ina wanafiki wengi mno. Tena wamejawa na roho za viburi na chuki mpaka kutoa uhai wa watu kama wanaua mjusi, so sad.
 
Ana Co.ya kubet.

Majarida(Magazeti) yenye picha za ngono/story ya kwake.

Ukumbi wa dar live(uwanja wa fisi umehamia huko siku hizi) ni wake pia.

Na bado huyu bwana anajiita mlokole huku akikemea na mapepo kabisaa yaani full usanii tu.
Jamaa ni msanii kwelikweli!
Kwa hizo biashara anazofanya siyo za kufanya mtu aliyeokoka.
 
Shigongo anasifia chchte kinachofanywa na Rais naww unapinga na kuchukia chchte kinachofanywa na Rais so mmekutana[emoji2] [emoji2]
 
Mwenzako baada ya kusema hivyo magazet na vitabu vyake mauzo yamepungua anataka kuwateka kiphycologia mumuone ana umuhim katika nchi
 
Braza huna lolote unalolilia, sana sana unafanya maigizo ya kujiliza bila sababu yoyote. Rais wangu Magufuli kandamizia hapo hapo.
 
Kweli ww ni kichwa cha samaki
 
Hakika nilitokea kumwamini sana Shigongo maana makala zake zilikuwa zinagusa moyo wangu,lkn kumbe alikuwa na malengo yake ambayo sasa yuko kivulini anakula,huyu jamaa in MNAFIKI namba moja duniani wala si mtetezi wa wanyonge tena,hasimami kwenye ukweli ,kaka yangu plz change your mind set and turn back to the justice, ni haki peke yake ndiyo itakayoleta amani nchini wala si bunduki,jela,mahakama au polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…