Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,233
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema amekuja na mpango wa smart classes (madarasa janja) kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo yao hasa ya Sayansi na kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Shigongo ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Buchosa na kueleza kuwa hawawezi kuwaacha watoto wa Buchosa wakawa wanafeli kwa sababu ya uhaba wa walimu.