eric shigongo na kupenda mteremko

Anapenda vya bure,kuna siku atakutana na watu wanaojua haki zao na wanaopenda kwenda mahakamani watamfilisi,anaishi kwa majungu
 
hayo mapenzi ya walaji wa messi na cr07 yametokana na mawazo ya kinyesi kama yako. kila mpenzi wa soka anamjua samatta, na kama wanawataka hao wa ulaya wawalipe haki yao sio kuwatumia bure. tumeona ngassa ametengeneza tangazo la malaria, mgosi akatoka na sippy soda, kwanini championi.
..Acha kuwa na mawazo mgando Ndg yangu, Unless useme una Beef na huyo Shigongo.
Kimsingi Sheria ya Hati Miliki ya Nchi hii ni dhaifu, na ndio maana unayaona hayo mabango yana Picha za Mastaa wa Ulaya, and no body cares, hebu nipe mfano wa hata kesi moja alioshtaki Staa wa Nje kwa kuwa tu ameona picha yake katika Bango hapa TZ,Hakuna. Why, kwa sababu Sheria ni dhaifu, na hao Mastaa ni Matajiri wa kutupa, ukiweka picha yake ktk bango huku Dunia ya tatu unamuongezea umaarufu tu, wala haitaji pesa yako.
Sasa nenda kaulize huyo Ngassa na Mgosi wamelipwa Pesa ngapi kwa hayo matangazo waliotengeneza, Utachoka.
 
kweli wewe mwli kontena akili kisoda.. kwa hiyo kama hakuna aliyeshtakiwa basi waachwe tu waendelee kuvunja sheria.. halafu, nishakwambia kuwa matangazo kama yale yangekuwa fursa ya mastaa wetu kuongeza kipato na kujenga CV. sijali ngassa na mgosi walilipwa sh. ngapi, as long as walilipwa kwa makubaliano na hawakufanya tangazo bure kama shigongo alivyowafanyisha Messi na CR07. halafu mimi sina bifu na huyo mtu wako, ila nina beef na unyonyaji wake...
 
Na nyie acheni ubazazi! Mna uhakika gani kuwa Shigongo hajawasiliana na Ronaldo na Messi?
Msipende kuandika tu ili kujifurahisha, jaribuni kushirikisha ubongo kidogo mpate data!
 
Na wewe uache ubazazi. Una uhakika gani kuwa Shigongo kawasiliana na Ronaldo na Messi? Usipende kuandika tu ili kujifurahisha, jaribu kushirikisha ubongo kidogo sio masaburi.
 
kweli wewe mwli kontena akili kisoda.. kwa hiyo kama hakuna aliyeshtakiwa basi waachwe tu waendelee kuvunja sheria.. halafu, nishakwambia kuwa matangazo kama yale yangekuwa fursa ya mastaa wetu kuongeza kipato na kujenga CV. sijali ngassa na mgosi walilipwa sh. ngapi, as long as walilipwa kwa makubaliano na hawakufanya tangazo bure kama shigongo alivyowafanyisha Messi na CR07. halafu mimi sina bifu na huyo mtu wako, ila nina beef na unyonyaji wake...[/QUOTE]
...@Red, maana yake na wewe ni muathirika wa Unyonyaji wake. Alikunyonya wapi, lini, saa ngapi. tupe uzoefu.
Wivu wa kike ndo unakusumbua. Mabango hayo yataendelea kuwepo, Shigongo ataendelea kuingiza Mpunga, Messi na Ronaldo wataendelea kuwa Maarufu zaidi, Na wewe utaendelea kupunguza siku za kuishi kwa kukereka kwako kutizama hayo mabango.
i'm done here.
 
siongezi neno hapo!
 
hayo maneno ya uswazi ndgugu yamgu, unaonekana umekata tamaa. kama you ar done mimi naendelea!
 
ni kuhusu gazeti la championi, so far nimeona matangazo mawili makubwa, posters za barabarani! Kuna lile la buguruni sheli ambalo limetumia picha ya cristiano ronaldo, halafu kuna lile la mwenge, njia ya kwenda coca-cola ambalo lionel messi ametumika kutangaza gazeti hili.

Sidhani kama maofisa wa biashara wa wachezaji hawa wana taarifa za mabosi wao kutumika kwa matangazo ya biashara, halafu, hapa nchini kuna wachezaji wengi ambao wangeweza kutumika kwenye hayo matangazo, wakalipwa na bado ujumbe ukafika. Mbwana samatta, jerson tegete, thomas ulimwengu, mrisho ngassa just to mention the few. Cha pili ni kuwa, kwa mtu ambaye ni bingwa wa kujifanya anatoa mafunzo ya ujasiriamali na kufanya maonesho ya uzalendo pale biafra, hereby eric shigongo, kampuni yake inafanya utumbo kama huu.

Nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana kwa hili and there is a wish which i am going to grant, nayo ni kumchongea shigongo kwa messi na ronaldo. Naombeni msaada wenu wakuu!

pata picha ya mabango hayo kwenye location halafu wakilisha kwao waombe wakupe wakfu wa kuwawakilisha basi, kuna mtu leo kapaa kazi kubwa ya kumwakilisha mtu mkubwa kwa ujuba huo
 
sawa, nitafanya ivo kaka, nitajaribu kugugo web ya hao celebs, picha si shida!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom