ERB acheni njaa

Acha uchoyo, kajisajili, au unadhani wenzio watakula wapi?????


Urudi kufanya nini wakati tumeshakuelewa....

Halafu hii biashara ya kujisajili kwenye mibodi inakeraga sana asee.

Yaani shule nikate mimi, kufaulu nifaulu mimi..... sitambuliki mpaka bodi inisajili......agrrrrrr
 

Swali dogo tu, kwani hao masupervisors huwa wanalipwa kwa kusoma na kusahihishe reports za trainees??
 
Swali dogo tu, kwani hao masupervisors huwa wanalipwa kwa kusoma na kusahihishe reports za trainees??

Hapana. Hawa ni registered professional engineers unaokutana nao kwenye firm unayofanyia training.
 
Halafu mie baada ya pasaka tu ndio nafata trainee certificate,hata hizo riport sijajua utaratibu wake wa kusubmit...msaada plz niwe updated jamani!!!
wakati unaenda kuchukua kile cheti chako ERB cha GRADUATE ENGINEER pale watakupa utaratibu mzima wa kujiunga na SEAP
vitu vya muhimu ni vyeti vyako original yaani academics certificate kwa ajili ya kuverify halafu kwa maelezo zaidi pitia hii link
Downloads
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…