Equivalent sasa hawatujali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Equivalent sasa hawatujali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Yuda, Sep 21, 2011.

 1. Y

  Yuda Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanii serikali hii sasa hivi inasema waombaji wa sifa linganishi hawawezi kupata mkopo kwa sababu ambazo hazina miguuu wala mikono ni mkia tu ambao siku zote nyuma unafuata kichwa kiendako, bodi isifanye mchezo na elimu za watu wala isilete longolongo kwenye elimu, wanafunzi wakati wanomba hamkuwaambia kuwa hamhitaji waombaji wa equivalent leo hii mnasema kuwa hatutoi mikopo kwa jamii hii, hivi elimu si haki mtanzania kama equivalent ambao wanapaswa kupata mkopo mnasema kuwa hawapaswi, hiyo siyo haki kabisa inaweza ikaleta katika nchi wanafunzi wakifika tu vyuoni.


  Hebu jaribuni kufikiria kuhusu hawa watu kuptata mkopo kama ilivyokuwa awali miaka iliyopita kwani nyinyi bodi mna kitu gani kipya chakubadili, sasa nyinyi ndo mnaharibu kabisaaaaaa hata sioni jipya kwenu kama hawa waomnaji mnaowaita equivalent hawatapata mkopo.
   
 2. M

  MR msafiri New Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukweli heslb wanaelekea kupoteza mwelekeo vigezo walivyotumia kuwanyima mikopo equivalent havina kichwa wala miguu.But mshikamano utawafanya wapate.Serikali haiishiwi pesa komaeni mpaka kieleweke
   
 3. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Ufumbuzi wa tatizo lenu ni maandamano hakuna mda wa mazungumzo....

  No one will give you justice if you know you deserve it, don't beg you take it.
   
Loading...