equivalent candidates wanaotaka kusoma LLB wanapewa mkopo hesbl?

laila

Member
Sep 7, 2011
10
1
hivi karibuni nimeona kwenye web ya heslb kwamba equivalent entry candidate ambao hawasomi ualimu na sayansi siyo eligible candidate kukopeshwa elimu ya juu nauliza wanajf nimeelewa sahihi ? binafsi sasa nasoma diploma ya sheria natarajia kusoma LLB mwakani je nitapata mkopo? na kama ctapata niende wapi? nipate msaada wa kusomeshwa hiyo llb maana ctaweza kujisomesha. tafadhali rejea mtandao wa heslb alafu nishauri
 
mwanafunzi yeyote ambaye ni equivalent ambaye amefaulu kwa kiwango kisichopungua second class katika cheti chake cha diploma ana sifa za kupata mkopo. Kwa hiyo ndugu wewe soma tu usiwe na wasiwasi. Labda bodi ya mikopo ibadilishe kanuni zake,kitu ambacho sio rahisi.
 
Back
Top Bottom