Jamani hawa watu wa EQUITY BANK ni wakombozi wa wanyonge, Kenya wamefanya kazi kubwa kwa kuwakomboa wajasiliamali tunawakalibisha TZ hasa ARUSHA!!!!!!!!Equity Bank one of the most successful banks in Africa,currently operating in Rwanda,Uganda,South Sudan with its headquarters in Nairobi,Kenya is soon expected to expand its services in Tanzania,mainly😀ar,Mwanza and Arusha.
We are looking to recruit on the following position: Branch Growth and Development managers(BGDM) as well as Credit Managers,if you are qualified and ready to be part of the team that is mainly focused on TRANSFORMING THE LIVES AND LIVELIHOODS OF THE PEOPLE OF TANZANIA,then kindly forward your CV to this e-mail address:jacquelineminja@equitybank.co.ke.

Jamani hawa watu wa EQUITY BANK ni wakombozi wa wanyonge, Kenya wamefanya kazi kubwa kwa kuwakomboa wajasiliamali tunawakalibisha TZ hasa ARUSHA!!!!!!!!
bwana nimetuma maombi ya kazi kwa hiyo e mail imenigomea kwenda sasa sijui inakuwaje e mail yenyewe ni hii jacquelineminja@equitybank.co.ke imekataa
uyu JACQ MINJA!DUH NIMEPGA NAE CLASS MOJA UYU!DUH LAKIN MI BADO NAUZA NYAGO YE ANAAJILI?KWELI DUNIA INA UPENDELEO

kaza moyo kaka jitahidi kutafuta wakati ukifika utapata tu
Kama ni kweli NMB wamekwisha this more than kusaidia wanyonge ATM kila kona Kenya especialy Nairobi hawana masharti ya ajabu ajabu very easy na ATM zao ukiweka zinatoa picha yako unaweza deposit mpaka cheque kwa ATM

bwana nimetuma maombi ya kazi kwa hiyo e mail imenigomea kwenda sasa sijui inakuwaje e mail yenyewe ni hii  jacquelineminja@equitybank.co.ke imekataa

Nasikia wana huduma bomba sana tena sana, ATM network yao ni kubwa na nzuri na on top of that nasikia wanatoa personal na business loans bila longolongo. CRDB, NMB na utitiri wa benki nyingine zenye service mbovu mtakonda kuringa.