EQUITY Bank Mwenge huduma zimewashinda

EQUITY Bank Mwenge huduma zimewashinda

Chizoba

Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
52
Reaction score
49
Hivi kweli bank nzima inakuwaje na teller mmoja siku kama ya leo jumamosi??? Mnadhani hatuna shuguli za kufanya?? Foleni hadi nje.. Shame on you
 
Mimi ndio kwanza naanza mchakato wa kuingia Equity
 
Back
Top Bottom