Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,319 Reaction score 3,432 Apr 28, 2013 #1 Nauza equalizer sensor,ambayo inasense mziki ndani ya gari na kuudisplay nyuma kioo cha gari Bei yake ni 180000 Atakayekuwa interested anicheki kwa namba. 0717312314 Attachments uploadfromtaptalk1367146307279.jpg 10.1 KB · Views: 93 uploadfromtaptalk1367146515638.jpg 14.8 KB · Views: 96
Nauza equalizer sensor,ambayo inasense mziki ndani ya gari na kuudisplay nyuma kioo cha gari Bei yake ni 180000 Atakayekuwa interested anicheki kwa namba. 0717312314
Mtingaji JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,223 Reaction score 367 Apr 29, 2013 #2 Wenzetu wana songa mbele kwa Tecknolojia mpya kila siku, sisi tunakaa kufunguliana kesi mahakamani!
Mndengereko JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 7,319 Reaction score 3,432 Apr 29, 2013 Thread starter #3 Mtingaji said: Wenzetu wana songa mbele kwa Tecknolojia mpya kila siku, sisi tunakaa kufunguliana kesi mahakamani! Click to expand... hii inahusiana vipi na thread yangu!!!!
Mtingaji said: Wenzetu wana songa mbele kwa Tecknolojia mpya kila siku, sisi tunakaa kufunguliana kesi mahakamani! Click to expand... hii inahusiana vipi na thread yangu!!!!
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,282 Reaction score 4,822 Apr 29, 2013 #4 Mndengereko said: hii inahusiana vipi na thread yangu!!!! Click to expand... unajua kijana kapagawa na swaga hizo jinsi tecno inavyokuwa sisi hata sindano na tooth stick tunaagiza china.
Mndengereko said: hii inahusiana vipi na thread yangu!!!! Click to expand... unajua kijana kapagawa na swaga hizo jinsi tecno inavyokuwa sisi hata sindano na tooth stick tunaagiza china.
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,574 Reaction score 16,423 Apr 29, 2013 #5 Mtingaji said: Wenzetu wana songa mbele kwa Tecknolojia mpya kila siku, sisi tunakaa kufunguliana kesi mahakamani! Click to expand... Kama siyo wa Lugoba basi wewe ni wa Chalinze Mzee!
Mtingaji said: Wenzetu wana songa mbele kwa Tecknolojia mpya kila siku, sisi tunakaa kufunguliana kesi mahakamani! Click to expand... Kama siyo wa Lugoba basi wewe ni wa Chalinze Mzee!