Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,880
NakaziaAisee. Mdaiwa afungwi.
Katika maisha yako ya utafutaji epuka sana kumkopesha mtu pesa kwa lengo la kurudishiwa pesa yako ya awali.
Kumbuka kuwa pesa unayompa mtu kwa mkopo sio yako tena.
Aliwai kuniambia baba yangu"mtu akikuomba umkopeshe pesa mpe nusu ya pesa alio omba kama sadaka mbele ya Mungu, Ila usije weka matarajio yeyote kwa pesa uliomkopesha mtu.
Mfano
Rafiki akikuomba umkopeshe elfu Kumi...basi wewe kiroho Safi mpe elfu tano ili kumuwezesha katika jambo husika.
Sio ndugu
Sio rafiki
Wala nini.
Usikopeshe Ila wezesha.
Wapo wengi sana walirudishwa nyuma kwa kukopesha pesa kwa watu.
Asante
Ukiweza kumuweka selo mpaka ndugu yako wa damu akizingua kwenye hela jua umepiga hatua muhimu sana kuelekea utajiri.Ukweli mchungu Ni kwamba ili ufanikiwe lazima uwe na Roho ngumu I mean acha kukopesha
Matajiri wengi Wana Roho ngumu mno ndo maana wanatoboa
Kweli kabisa, naunga mkono hoja. Kwa hela nilizokopesha watu mpaka sasa nikihesabu zaweza timia hat milioni 5 na hakuna hata mmoja aliye na aibu kutaka nirudishia. Yaani kila mmoja anakausha tu as if siwadai. Because of this, sikopeshi mtu yeyote hela hata iweje, nimekoma.Aisee. Mdaiwa afungwi.
Katika maisha yako ya utafutaji epuka sana kumkopesha mtu pesa kwa lengo la kurudishiwa pesa yako ya awali...
Mdada si unamalizana naye tu? Unamdai vipi mdada ela wakati wao ni wapokeaji tu?Hii kweli kabisa,
Juzi nimeingia kwenye mtego, nimemkopesha mdada aise, Sijui atanilipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu lini Ke akakopeshwa pesa na kuzirudisha kwa Me inavyopasa?Hii kweli kabisa,
Juzi nimeingia kwenye mtego, nimemkopesha mdada aise, Sijui atanilipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika maisha Ni bora mtu akuone mbaya kwa kumwambia Sina kuliko wewe kuja kumuona mbaya pindi pale unapomdai na yeye anakuwa anakuzungusha kukupa pesa yako.Kweli kabisa, naunga mkono hoja. Kwa hela nilizokopesha watu mpaka sasa nikihesabu zaweza timia hat milioni 5 na hakuna hata mmoja aliye na haibu kutaka nirudishia. Yaani kila mmoja anakausha tu as if siwadai. Because of this, sikopeshi mtu yeyote hela hata iweje, nimekoma.
Mkuu wewe ni katili sana!Ukiweza kumuweka selo mpaka ndugu yako wa damu akizingua kwenye hela jua umepiga hatua muhimu sana kuelekea utajiri.
Kuna MTU nilimkopea sehemu milion 3.5 sitaki kukumbuka nilichopitiaSi kumkopesha tu hata kumkopea (kumchukilia hela au kitu toka kwa mtu wa tatu) ni kosa la kiufundi. Na tena, usipende hata kumdhamini mtu deni adaiwalo. Utalala na viatu. Naeleza kwa uzoefu. Usithubutu.
mm kama unanipa kitu chenye thaman sawa au x2 ya ela unayotaka nikukopee ni sawa tu ili siku ukizingua kulipa mm nauza kitu chako naenda kulipa deni la watuSi kumkopesha tu hata kumkopea (kumchukilia hela au kitu toka kwa mtu wa tatu) ni kosa la kiufundi. Na tena, usipende hata kumdhamini mtu deni adaiwalo. Utalala na viatu. Naeleza kwa uzoefu. Usithubutu.
atakulipa ambacho hunaHii kweli kabisa,
Juzi nimeingia kwenye mtego, nimemkopesha mdada aise, Sijui atanilipa.
Sent using Jamii Forums mobile app