Epuka Mazungumzo "Washrooms"....

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,100
Reaction score
1,955
John aliingia kwenye "washrooms" za airport muda mfupi kabla ya kupanda ndege. Akiwa chooni akasikia sauti toka chumba jirani na alipokuwa:

Sauti: Hi!

John akajibu: Hi!

Sauti: Uko wapi?

John: Washroom of course.

Sauti: Unafanya nini huko?

John: (Kwa sauti ya aibu) Najisaidia kama wewe.

Sauti: Fred, nitakupigia baadae, kuna jamaa anajibu hapa maswali ninayokuuliza.
 
teh teh teehh...... hyo huwa smtym na mm inazinguaga!
 
Teh teh nimeipenda hiyo alafu huwa ni kitu kinachotokea mara kwa mara hata kama ukiwa umekaa na mtu akipokea sim unawezajikuta unamjibu
 
Hahahahaaaaa aiseeee huyu jamaa nik kilaza sasa
Lol
 
tangu lini watu wanaongelea washroms?
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…