Mtoa mada unamzungumzia mwanamke wa miaka 45 na mahusiano ya kimapenzi? Huyo ni bibi, mwanamke akifika miaka 30 ni mzee, kama hujaolewa na una miaka 30 unatakiwa kuomba Mungu.
Muhimu ni kuhakikisha wakat wowote bila kujar umri na mahala ulipo kuwa liberated kiakili then fanya kile kikupacho furaha bila kuathir maslah ya wengne..!
Dunia iko kasi sana, tusipangiane eti kisa umri..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.