Amba Samedi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2024
- 206
- 346
Nilikuwa napitia uzi huu twitter (X). Kwamba mwanafunzi usiyemjua akiomba simu ukampa, unahatarisha kuoza jela miaka 30. Wanaume tuwe makini aisee. #NimejifunzaKitu
Unatubishia sisi tuliopo BongoYani uoze jela kisa kumpa simu mwanafunzi ? Utakua ni mzembe sana asee
Nilionaga wengi wamegawa hadi mimba , wanasepa kidgo baada ya mda wanarudi na kudunda kitaa kama kawaida tu, sembuse namba??Unatubishia sisi tuliopo Bongo