ZInatumia Integrated external ink Tanks kwa hivyo hatusemi kwamba zinatumia catridge bali ni mitungi ya nje. Kwa maana kwamba wino ukiisha haubadilishi catridge bali unajaza wino kwenye mitungi iliyopo nje. L805 ni kama L800 iliyoboreshwa isipokuwa huwa hazina scanner.
Catridge zake zipo ndani zimechomekwa kwenye Print Head ambapo wewe hutakuwa unazigusa kabisa labda kama zina matatizo, kinyume na hapo wewe kazi yako ni kujaza tu wino na hutoshughulika na catridge kabisa.
kuhusu bei sina uhakika.