EPL - Who will clinch it??

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Kabla ya mechi za leo Jumamosi tarehe 12th Feb, 2011: Msimamo wa ligi upo namna hii:

1. Man Utd - Points 54

2. Arsenal - Points 50 (wamefikaje hapa hawa???)

3. Man City - Points 49

4. Chelsea - Points 44 (kutoka nafasi ya kwanza na sasa kugombania TOP FIVE!)

5. Tottenham - Points 44

6. Liverpool - Points 38

Bado mechi 13 kwa timu hizo except Man City na Liverpool ambao wameshacheza maechi 26 na hao wengine wamecheza mechi 15 tu.

Ingawa tutapata mwanga mzuri baada ya derby match kati ya City na Utd, kwangu mimi naona Chelsea keshapoteza ubingwa. Kama Man Utd akishinda leo, ataanza kuunusa ubingwa kwa ukaribu zaidi

Tujadiri!

Update: Baada ya mechi za leo Jumamosi, 12th Feb, 2011

1. Man Utd - Points 57

2. Arsenal - Points 53 (wamefikaje hapa hawa???)

3. Man City - Points 49

4. Tottenham - Points 47

5. Chelsea - Points 44 (kutoka nafasi ya kwanza na sasa kugombania TOP FIVE!)

6. Liverpool - Points 39
 
Kumbuka Chelsea ana mechi 2 dhidi ya Man U kwa hiyo iwapo atashinda hizo game tofauti itakuwa point 4 tu. Ignore them and you might regret it.
 
Shakazulu - ukiangalia kiwango kwa sasa, unadhani Chelsea anaweza kumtandika Man Utd kwa mechi zote hizo mbili?

Mechi yao ya kwanza imepangwa tarehe 1 March na ya pili tarehe 7 May - hii ya pili inaweza isiwe na maana saaaana kwani kama ni Bingwa anaweza kuwa tayari anajulikana
 
baada ya leo ni two horse race....arsenal na man utd

Chelsea inasimama nafasi ya tano sasa. Any mistake kesho will be suicidal!

How we paid Pounds Milioni 50 kwa Torres is beyond me!
 
Arsenal squad still has no depth, Man City's Coach isn't capable to gel the team, Chelsea wameshafulia sana, halafu sasa hivi Cech ain't reliable so many high profile errors, and Spurs are yet to feel comfortable in the sky 4 or whatever it is. So the tittle is ours Man united to lose.
 
Arsenal squad still has no depth, Man City's Coach isn't capable to gel the team, Chelsea wameshafulia sana, halafu sasa hivi Cech ain't reliable so many high profile errors, and Spurs are yet to feel comfortable in the sky 4 or whatever it is. So the tittle is ours Man united to lose.

I like your good analysis. The title is for Manure to lose
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom