EPL Golden boot 2018/19

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Niwape pongezi za ukweli Manchester City kwa kutwaa ubingwa season hii 18/19. Hakika ushindani umekuwa mkubwa sana, Liverpool akomae na CL huenda akajipoza kule.

Back to mada siku ya mwisho wa ligi naona leo wameongezeka wafungaji kutoka club 2 na kumfikia MO Salah;

1. Mohamed Salah (LIV) 22 goals, 8 assists
2. Pierre-Emerick Aubameyang (ARS) 22 goals, 5 assists
3. Sadio Mane (LIV) 22 goals, 1 assist

Kimsingi wote wanastahili kupata golden boot maana ni magoli ndo kigezo pekee. Hongereni kwa kazi nzuri vijana wa EPL
 
Sasa hapo nani atachukua golden boot?
Watapewa tu hongera ya vyeti na fedha.

Sheria za kupewa golden boot zinashabjriana na zile za mchezaji kufunga hatrick zinasema hivi kama mchezaji zaidi ya mmoja atafunga hatrick na mpira uliokuwa ukichezewa ni mmoja basi wengine watasubiri kama ilikuwepo mingi inayochezewa basi watapewa hapohapo.

Golden boot ilikuwa ni moja tu
 
Nataka pia kujua sheria ya Golden boot ipoje kwa case kama hiyo... Nafikiri wote wanastahili kuwa navyo
 
Back to mada siku ya mwisho wa ligi naona leo wameongezeka wafungaji kutoka club 2 na kumfikia MO Salah;

1. Mohamed Salah (LIV) 22 goals, 8 assists
2. Pierre-Emerick Aubameyang (ARS) 22 goals, 5 assists
3. Sadio Mane (LIV) 22 goals, 1 assist

Kimsingi wote wanastahili kupata golden boot maana ni magoli ndo kigezo pekee. Hongereni kwa kazi nzuri vijana wa EPL

Nilidhani utasema Hongereni vijana wa Afrika.
 
Wamepewa wote
Screenshot_2019-05-12-19-12-03.jpeg
 
Nataka pia kujua sheria ya Golden boot ipoje kwa case kama hiyo... Nafikiri wote wanastahili kuwa navyo
FA itabidi wafanye jambo ukizingatia wachezaji wote ni wakigeni lolote laweza kutokea wakapewa kiatu au wakapewa mbadala wa kiatu
 
Mfaransa, kuna kipindi hadi alikataa kuchezea timu yake ya taifa
Usimsingizie, waafrika wote wapo kimaslahi, muulize diof atakwambia

Huwa wanajiumiza makusudi wasichezee timu zao za taifa maana maslahi madogo,

Ni wachache wanaojitoa 100%
 
Nimemsingizia nini mkuu? Kwamba hajawahi kukataa kuchezea taifa lake la Gabon na kujinadi kuwa yeye ni mfaransa ama?
 
Hajawahi kujinadi yy mfaransa ,japokuwa yy kakulia ufaransa,

Kukataa kuchezea timu ya taifa wanakataa wengi tu, maana wanaona hazina faida, hata kina matip waliikataa Cameroon,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom