Episode 2:Maajabu ya wanawake.

Tabia ya kwanza kuijua huwa ya mama, maana uko naye toka tumboni. Hongera ulitulia vizuri tumboni ukazijua tabia za waliokubeba miezi tisa. Sasa umeota ndevu unaanza leta episode zao!!! tuliza ball. Kumbukeni mnaomchambua mwanamke ambaye ni mama yenu.... kuweni na hekima kidogo ... hakuna mwanadamu aliyekamilika!

Amelaaniwa asiyemthamini mama yake!
 
Ukweli mtupu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…