Mmmh...hii timu ya Ephraim Mafuru na Teddy Mapunda huko SBL aisee! TBL kifo nje nje...
mie ndo napata kizunguzungu sielewi whats so special!Sijaelewa kwa nini hii ni habari
mie ndo napata kizunguzungu sielewi whats so special!
Habari za madai kuwa mzinzi yanahusu nini? Kama madai hayo yamekuwa substantiated ndipo uyaandike otherwise tuletee ushahidi. Kama huna hatutaki madai.Shame!Si nilisikia TTCL walikuwa wanataka kumpa kazi? iliishia wapi?Anyway hongera zake jamaa ni mchapa kazi sana ingawa kuna watu wanadai ni mzinzi lakini what matters ni mtu wa kazi na sio mjivuni.
Sidhani kama una uelewa wa jinsi makampuni yanavyoendeshwa. Ungejua TBL inamilikiwa na kuendeshwa na nani usingesema hivyoMmmh...hii timu ya Ephraim Mafuru na Teddy Mapunda huko SBL aisee! TBL kifo nje nje...
...soma profile yake hapo inajieleza.
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Masoko Vodacom, Nafasi ambayo kwa sasa imekaliwa na Mwamvita Makamba.