Kweli Kama ipo, ipo tu....juzi tu tulikuwa na dili naye la sukari na likatiki na ilikuwa tukutane tena jumatatu dah , hongera sana classmate
Karibu Arusha, karibu The hub, Karibu Aces Lounge 😅
AICC iliishapigwa bao na Kigali Convention Center siku nyingi tu, hivi sasa imebaki historia. Mafuru anaenda AICC kuweka bandiko gani jipya pale? Kimsingi AICC iko kwenye ushindani usio rasmi na JNICC kwenye ligi za mchangani.