Mdomowangu umebaki wazi kabisa....[emoji47] [emoji47] [emoji47]Kibonde tayari ni muathirika wa ukimwi hivyo hawezi kuruhusiwa kufanya kazi huko....yule ni maiti inayoongea tu....
Atakusikia kweli mkuu kwa Sasa maana Jana usiku Kafiwa na kipenzi chake Sarah....RIP kwake[emoji20] [emoji20] [emoji120] [emoji120]WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?
Umeanzaa...ushimen banaNaona sasa shuzi ndio limepata mjambaji
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Basi mkuu, tupo msibani leo....[emoji29] [emoji29] [emoji29]Umeanzaa...ushimen bana
WADAU SASA NAONA UMEFIKA WAKATI WA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI BWANA EPHRAHIM KIBONDE AKAENDA KUTANGAZA NA KUENDELEZA KIPAJI CHAKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA KAMA VILE BBC na DEUTSCHE WELLE. NASHAURI HIVYO KWASABABU AMESHAKUWA MTANGAZAJI MAARUFU NCHINI NA NI VIZURI AKAFUATA NYAYO ZA WATANGAZAJI WALIOPATA KUWA MAARUFU NCHINI KAMA VILE CHARLES HILARY, ABUBAKARI LIONGO, FLORA NDUCHA NA WENGINE AMBAO WAPO KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA KIMATAIFA. NAONA HUYU JAMAA KIWANGO CHAKE SIO CHA KUISHIA HAPO HALIPO. MNAONAJE WADAU?
ni wewe Sarah? Pumzika kwa amani usingizi wa kibondeAh hii haikubaliki badala ya kuandika kitu ambacho jamii ikanufaika mnaanza kujadili mtu sasa hapa tunafaidika kitu gani, si lazima kila siku uweke mada siku nyingine uwe unachangia za mwenzio, ukizoea kusema watu ipo siku utatuletea habari ya mkeo /mumeo tuijadili
inamana"" ... Jamaa analiwa au ""..!?Mnataka awe karibu na Cameron! Kweli watanzania mmemchoka kibonde
duuuuhh""Kibonde tayari ni muathirika wa ukimwi hivyo hawezi kuruhusiwa kufanya kazi huko....yule ni maiti inayoongea tu....
hahaha mtoa mada Mawazo yake yamechacha...kibonde huyu huyu "" mwehu "" ambaye anatamka maneno ya matusi matusi "" na kuhamasisha ulevi na ngono kwenye kipindi chao cha JAHAZI ""... ndiye ambaye anamtaka aende BBC ""...Duh !
Mleta mada ameshambuliwa kama Agentina Vs Croatia.
ha haha hahaaFoolish, watu wanaongelea sensible things wewe unaleta mambo ya kitaahira
Kwani wanaotangaza BBC wanasifa gani mkuu ambazo Kibonde hana.Tuelze huyu Ephraim Kibonde anasifa gani zinazomfaa aende BBC? Huyu Ephraim Kibonde ukisikilza sana mazungmzo yake na michango yake mini imekuwa ni logic less sasa sijui kama BBC kuna nafsi ya watangazi uchwara kama Kibonde, labda aende kutangaza radio uhuru ndio saizi yake!