Ephrahim kibonde nenda BBC sasa

I stopped listening Clds radio long time ago bcos of him, am now with ea radio , the ea guys talk sense.
 
Kibonde tayari ni muathirika wa ukimwi hivyo hawezi kuruhusiwa kufanya kazi huko....yule ni maiti inayoongea tu....
 
Ah hii haikubaliki badala ya kuandika kitu ambacho jamii ikanufaika mnaanza kujadili mtu sasa hapa tunafaidika kitu gani, si lazima kila siku uweke mada siku nyingine uwe unachangia za mwenzio, ukizoea kusema watu ipo siku utatuletea habari ya mkeo /mumeo tuijadili
 
Great thinkers discuss issues and not personalities!!
 
Yaan hapa ndio mwisho wako wa kufikiri???
 
Akiondoka clouds ccm watakua wamepata pigo kuba sana
 
Utangazaji na U MC wa kulazimisha vitu viwili tofauti
 
Namfahamu kibonde, anapenda sana "viroba" a.k.a vi-laptop. ULAYA havipo, atashindwa kuishi.
 
Sorry Bro!BBC hatuchukuagi Makanjanja!Asante
 
Namfananisha na yule siaR wa mchezo wa bao kwa 'body language' ya ukada. Wanafaa 'kuigwa'. Ah! Kwani BBC ni kitugani? Sio bodaboda za China?
 
BBC sio Matanagazo ya nyumba za NSSF, huyo mtu wako hata Azam na ITV hapati nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…