Epa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Epa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, Mar 3, 2011.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Hivi zile hela zetu za EPA zimesharudishwa kama alivyojinadi Kikwete Bungeni au ndo usanii mtupu?
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  :behindsofa:Rais Jakaya Mrisho Kikwete amejenga desturi ya kuwatisha Watanzania kuwa kila anayezungumza kuhusu mazuri kwa wananchi,awe mwanasiasa,kiongozi wa kidini au mbobezi wa jambo fulani, anahatarisha amani ya Tanzania,anajenga udini,uzawa na nini sijui.Rais ameshauriwa vibaya kuwa akisema hivyo ataonewa huruma na wananchi au wananchi watashikwa na hofu ya kutokea machafuko.Watu wanaonekana kutoelewa na kutotishika.Wamemchoka yeye na watu wake.Suala hapa si CHADEMA,NCCR,CUF wala CCK...suala ni kuwa JK anaboa,hawezi kuongoza tena,hajiwezi na upinde wake hauna mshale.
   
Loading...