Mzee wa data, hebu fuatilia kwa kina. Huyu Mzee wake mbona alikuja miaka ya 70 pale Kigoma kufanya biashara za kawaida tu? Hawa si watanzania, ni wakimbizi toka Burundi. Fuatilia kwa kina. Hata baadhi ya fedha za EPA zimepelekwa huko kwao. Nilishangaa sana kusikia wakijitambulisha kuwa ni wamanyema wa ujiji!
.......ndiyohiyo
Tusianze kuzushia watu ili mradi iko mahakamani yatajulikana tuache hadhithi ya mkurya kuuliza swali swali kabla mzungumzaji hajaaza.Mtanzania,
labda ni mapema mno kusema, lakini kwa taratibu za benk na jinsi kiasi cha pesa kilivyokuwa kikubwa hawa ni dagaa tu. Haiwezekani kwa kiasi hicho cha fedha waziri, rais wa Tanzania asijue? Usalama wa taifa walikuwa wapi uhujumu wa ajabu unafanyika na tayari tuna maanget wetu hapo? by the way sijui at that time ni nani alikuwa hapo katika kitengo cha kudhibit fraud maana kuna wakati Said Mwema alikuwa pale, alpoondoka ndo akaingia huyu RPC wa kilimanjaro.
Haki itatendeka ni pale wote hawa watueleze wanachokijua lakini kuwabeba hawa unamwacha deputy gavana wa wakati ule ni kutudanganya tu, Mkapa na Mramba wanajua hili toka siku ya kwanza. Kitu ambacho watanzania wanahitaji kujua zaidi ya yote ni nani aliye wakusanya wafanyabiashara hawa na kuwaambia kuna pesa ya kujichotea?
Nimezungumza na mtu aliyetoka kumtembelea dada yake anayehusika katika kesi hii.Anasema wako more than comfortable yeye na mumewe.Alichomhakikishia mdogo wake ni kwamba akitoka hapo(mahakamani) atakuwa ameuaga umaskini.Kuna dili inachezwa hapa,tusubiri tuone.

Mmmmhhh Makubo namfahamu.
Kweli kwa miaka mingi baada ya Chapa jogoo kufa naye alikuwa amezimia kwa ukwasi. Pesa ilikuwa imekwisha kabisa.
Lakini kwa miaka miwili ya nyuma ghafla aliibuka na mipesa kibao ambayo hakuna aliyejua aliipata kivipi.
Niliona akifadhili vikundi vya kidini kule kwao na pesa aliyokuwa nayo ilikuwa inatisha. Aliitisha harambee ili achangie utengenezaji wa kanisa na aka hire mtu wa catering kwa kulisha karibu kijiji kizima🙂
Wanaomfahamu walishangaa kuona jamaa kaibuka kiaina tena. Kumbe ilikuwa ni design hii? Sasa naweza kuchora picha na kujua nini kilikuwa kinaendelea.
Field Marshall hana data, kina Lukaza ni watoto wa wakulima na wafanyakazi kama tulivyo wengi wetu, hii tabaka ya wafanyabishara si imeibuka juzi juzi tu baada ya trade libirazation ya mzee mwinyi?
NI kweli watoto wengi wa mzee Lukaza ni wahangaikaji mjini na si kidogo, tunakimbizana kwenye mishe mishe za kila siku hapa mjini, Jhonson yeye alikuwa juu ya msatari ndio baadae ni tumekuja jua kumbe ilikuwa na EPA na si hizi biashara za kuandika invoice?!!
Nimezungumza na mtu aliyetoka kumtembelea dada yake anayehusika katika kesi hii.Anasema wako more than comfortable yeye na mumewe.Alichomhakikishia mdogo wake ni kwamba akitoka hapo(mahakamani) atakuwa ameuaga umaskini.Kuna dili inachezwa hapa,tusubiri tuone.
(toka kwa michuzi)..
Wafanyakazi wanne wa benki kuu ya tanzania (bot) leo wametinga mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na wizi wa pesa za epa wa zaidi ya shilingi bilioni 207 mali ya bot.
Wafanyakazi hao waliosimama kizimbani ni pamoja na:
1. Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai bi. Esther komu.
2. Kaimu kati bu wa benki bw. Bosco kimela
3. Imani mwakyosa
4. Sophia joseph
wote wamefika mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu mh. Hezron mwankenja. Habari kamili baaadaye
Duh!jamani mi nakumbuka kulikuwa na harambee moja pale kwenye kanisa la agape.mkewe akatoa milion tano.jamaa alipokuja akasema hiyo ni ya mama mtumishi wa mungu .yeye akatoa dola elfu kumi.na ni kama miaka miwili sasa na akamtaja na huyo Johnson aakachangie.Mmmmhhh Makubo namfahamu.
Kweli kwa miaka mingi baada ya Chapa jogoo kufa naye alikuwa amezimia kwa ukwasi. Pesa ilikuwa imekwisha kabisa.
Lakini kwa miaka miwili ya nyuma ghafla aliibuka na mipesa kibao ambayo hakuna aliyejua aliipata kivipi.
Niliona akifadhili vikundi vya kidini kule kwao na pesa aliyokuwa nayo ilikuwa inatisha. Aliitisha harambee ili achangie utengenezaji wa kanisa na aka hire mtu wa catering kwa kulisha karibu kijiji kizima🙂
Wanaomfahamu walishangaa kuona jamaa kaibuka kiaina tena. Kumbe ilikuwa ni design hii? Sasa naweza kuchora picha na kujua nini kilikuwa kinaendelea.
Duh!jamani mi nakumbuka kulikuwa na harambee moja pale kwenye kanisa la agape.mkewe akatoa milion tano.jamaa alipokuja akasema hiyo ni ya mama mtumishi wa mungu .yeye akatoa dola elfu kumi.na ni kama miaka miwili sasa na akamtaja na huyo Johnson aakachangie.
Nimezungumza na mtu aliyetoka kumtembelea dada yake anayehusika katika kesi hii.Anasema wako more than comfortable yeye na mumewe.Alichomhakikishia mdogo wake ni kwamba akitoka hapo(mahakamani) atakuwa ameuaga umaskini.Kuna dili inachezwa hapa,tusubiri tuone.
mkora,ili neno 'mabwenga'just does not sound good,as a member of JF,i believe you are bigger then this,using gutter and street expletives on a particular tribe is at most dihumanising.if you deem me wrong eg overreacting on my part,then apologies in advance-many thanks