lazima ujifunze:
1. Sayansi kimu
2. Siasa
3. Sanaa
4.jiografia
5.hesabu
6.sayansi kilimo
7.sayansi
8.kiswahili
wakati wa mapumziko lazima ucheze,
1. Mpira (chandimu, one touchi, mputo)
2. Netboli na rede
3. Mdako
4. Bong'oa
5. Kula m'bakishie baba
6. Kubanjua gololi
7.mnataniana kwa kutomoana
8.mnasimuliana movie za kihindi kina amithah bachan,mithun,chuck noris,amjed khan.
9.kucheza kiboleni
msosi wakati wa mapumziko.
1. Mihogo ya kukaanga na chachandu
2. Aishiklimu
3. Barafu
4. Kashata
5. Bagia (za walimu)
6.vibama
7.gubiti
8.ubuyu wa rangi
9.ukwaju
10.visheti
nguo
1.unavaa kaptula 2 kuzuia maumivu ya viboko
2.unaweka daftari au gazeti ndani ya kaptura basi tigo ikionekana kubwa mwalimu anakuambia vua
Nimevaa chachacha, na sokdi ndefu kidogo, mfuko wa rambo ndo wa kubebea madaftari ndani.
Ilikuwa kuweka Andazi kwemye mfuko wa kaptula kitu rahisi sana hujiulizi!!
Siku ya kufunga shule ile Ijumaa unahakikisha umeficha kiboko chako mkitawanyika namchapa fimbo kama 3 za haraka haraka mbaya wangu hasa monitors na siku hiyo nilikuwa mahakikisha nimekaa nao karibu kabisa!!!

Lazima ujifunze:
1. Sayansi Kimu
2. siasa
3. Sanaa
4.jiografia
5.hesabu
6.sayansi kilimo
7.sayansi
8.kiswahili
Wakati wa mapumziko lazima ucheze,
1. Mpira (Chandimu, one touchi, mputo)
2. Netboli na rede
3. Mdako
4. Bong'oa
5. Kula m'bakishie baba
6. Kubanjua Gololi
7.mnataniana kwa kutomoana
8.mnasimuliana movie za kihindi kina amithah bachan,mithun,chuck noris,amjed khan.
9.kucheza kiboleni
Msosi wakati wa mapumziko.
1. Mihogo ya kukaanga na chachandu
2. Aishiklimu
3. Barafu
4. Kashata
5. Bagia (za walimu)
6.vibama
7.gubiti
8.ubuyu wa rangi
9.ukwaju
10.visheti
nguo
1.unavaa kaptula 2 kuzuia maumivu ya viboko
2.unaweka daftari au gazeti ndani ya kaptura basi tigo ikionekana kubwa mwalimu anakuambia vua
Lazima ujifunze:
1. Sayansi Kimu
2. siasa
3. Sanaa
4.jiografia
5.hesabu
6.sayansi kilimo
7.sayansi
8.kiswahili
Wakati wa mapumziko lazima ucheze,
1. Mpira (Chandimu, one touchi, mputo)
2. Netboli na rede
3. Mdako
4. Bong'oa
5. Kula m'bakishie baba
6. Kubanjua Gololi
7.mnataniana kwa kutomoana
8.mnasimuliana movie za kihindi kina amithah bachan,mithun,chuck noris,amjed khan.
9.kucheza kiboleni
Msosi wakati wa mapumziko.
1. Mihogo ya kukaanga na chachandu
2. Aishiklimu
3. Barafu
4. Kashata
5. Bagia (za walimu)
6.vibama
7.gubiti
8.ubuyu wa rangi
9.ukwaju
10.visheti
nguo
1.unavaa kaptula 2 kuzuia maumivu ya viboko
2.unaweka daftari au gazeti ndani ya kaptura basi tigo ikionekana kubwa mwalimu anakuambia vua
Na ole wako usahau dada yake Juma anaitwa nani (Roza) kwenye Kiswahili kwenye vitabu vile 'Tujifunze Lugha Yetu' Kwenye English lazima ujue Mr & Mrs. Daud na watoto wao Musa na Neema wanaosoma Mtakuja Primary School. Those were the good old days!!!!
Yoooote waseme CHIPUKIZI sikuwahi kucheza lakini ilinitesa sana kisaikolojia!
Niliwaza hivi siku nikichaguliwa kucheza na vile viboko itakuwaje?
Enzi hizo viatu ni raba za DH,au viatu fulani vya plastiti toka KENYA ukivipaka mafuta ya kula vinang'aa mbaya ila balaa lake ikifika saa sita mchana lazima uvivue coz vilikuwa vinachoma sana.
Mengine yalikuwa ni haya:
-Mfukoni lazima ubebe mahindi ya kukaanga au maembe
-Usipowahi Number asubuhi imekula kwako
-Utoro ilikuwa ni issue ya kawaida kutokana na walimu kuwa wakali sana
-ukiwa time keeper ulikuwa unaonekana wa matawi
Lazima ujifunze:
1. Sayansi Kimu
2. siasa
3. Sanaa
4.jiografia
5.hesabu
6.sayansi kilimo
7.sayansi
8.kiswahili
Wakati wa mapumziko lazima ucheze,
1. Mpira (Chandimu, one touchi, mputo)
2. Netboli na rede
3. Mdako
4. Bong'oa
5. Kula m'bakishie baba
6. Kubanjua Gololi
7.mnataniana kwa kutomoana
8.mnasimuliana movie za kihindi kina amithah bachan,mithun,chuck noris,amjed khan.
9.kucheza kiboleni
Msosi wakati wa mapumziko.
1. Mihogo ya kukaanga na chachandu
2. Aishiklimu
3. Barafu
4. Kashata
5. Bagia (za walimu)
6.vibama
7.gubiti
8.ubuyu wa rangi
9.ukwaju
10.visheti
nguo
1.unavaa kaptula 2 kuzuia maumivu ya viboko
2.unaweka daftari au gazeti ndani ya kaptura basi tigo ikionekana kubwa mwalimu anakuambia vua
Nimecheka sana, nakumbuka halaiki, shamba la shule mkichoka sana wakati wa kupanda basi wale madarasa ya juu wanachimba shimo kubwa wanamwaga mbolea na mbegu mahindi kiroba nzima mwl akija mnaondoka mmemaliza! Kasheshe kupalia msipowahi kuyafukia ayaone...fimbo zinatembea shambani uko uko. Bendi ya shule ikiongoza parade na ukaguzi jumatatu... Twilumba schoolbag ilikuwa ya jinja unaishonea kaua kwa mbele🙂. Hakukuwa na ripot ila kufunga shule mnatajiwa wa kwanza hadi wa mwisho...mitumba ikiitwa kafa ulaya na kudharauliwa sana japo nzuri... tulikuwa tukivaa nguo zetu za jinja au khanga toka Mwatex. Kwaya na mpira ilikuwa juu sana shule yetu enzi za Abraham Thawe ilikuwa inashinda kila leo. I miss those old good days
Hahahaa, shamba la shule!..hivi sku hizi hakuna hizi habari na EK?
mashamba ya shule ilikuwa ni maalumu kufundishia elimu ya kujitegemea, hata hivyo hayakudumu kwenye miaka ya 80 hivi yalikuwa hamna na zilibaki bustani tu pembezoni mwa shule. Shule za kulipia mfano za Mission kama Nyakahoja hawakuwa nayo haya vibustani vidogo tu. Lakini kikubwa elimu wakati ule ilikuwa nzuri ya kumfanya mtu ajiamini