Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
Kuna mtu humu kawa vampire... Kwa wale wanaoangalia movies za mavampire nadhani huwa mnaona kuwa mtu aliyeathiriwa na VAMPIRE akifa anafukiwa na akifufuka ndio anakuwa VAMPIRE
Sasa kuna mtu kafufuka... Na ana hasira kwa wadada wa jf... Nionavyo mimi







Inasemekana wana Id mupyaWeraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella


Inasemekana wana Id mupya![]()
Na mie piaWakija msisahau kuniita
Weraaaaaa!
Muda wao usha isha acheni na vijana wapokee kijiti sasa.
Ni sawa na kumkumbuka Ally Choki kwenye kipindi cha Christian Bella

mla mleo....Kila zama na kitabu chake!![]()
![]()
![]()
Eeeh mla jana kalani tu
Hahaaa. Ndio hivyo rafiki leo wamekumbukwa Wahenga wenzio. TehAisee
YeahKila zama na kitabu chake!
Sana tuYeah
Nadhani wao watulie kama walivo tbings xime change
Hahah! Kipindi hicho nilikua haya majukwaa nayapita kama siyaoni vileHahaaa. Ndio hivyo rafiki leo wamekumbukwa Wahenga wenzio. Teh

kweli mambo yanabadirika sanaHahahaaa. Kama mie rafiki.Hahah! Kipindi hicho nilikua haya majukwaa nayapita kama siyaoni vilekweli mambo yanabadirika sana