saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 Dec 30, 2012 #1 Kipindi kile nikiwa nasomea shule ya sekondari Mficheni. Hapa ndo nilikua natupia maombi yangu bila woga huku binti akiishia kung'atang'ata kucha. Binti; Oooooh mimi naogopa,sijazoea, mama alinikataza, watu wataju na wakijua nitapigwa baba.
Kipindi kile nikiwa nasomea shule ya sekondari Mficheni. Hapa ndo nilikua natupia maombi yangu bila woga huku binti akiishia kung'atang'ata kucha. Binti; Oooooh mimi naogopa,sijazoea, mama alinikataza, watu wataju na wakijua nitapigwa baba.