Enzi za ujahilia, CHADEMA nilipotea

Anaejitambua hawezi kubaki chadema,hata mimi nikiiangaliga kadi yao pia nikitafakari jinc nilivyokuwa sili silali kwakuwahi vikao vyao!Aisee najiona nilikuwa bure kabisa kichwani.Ahsante mungu kwakunitoa upofu niliojipa kwa makusudi!
 
Ndugu Mzito mmefikia wapi uanzishaji wa ACT?

Nafikir jibu la swali lako umeshalipata, ACT ndio chama kukubwa baada ya CCM na CHADEMA.

ndio chama kinachoongoza kwa ukuaji na usambaaj wa haraka kuliko chama chochote kwa sasa.

Kwel enz za ujahilia chadema nilipotea
 
Lakini Naona Kwa Staili Yako Bado Upo Kwenye Ujahilia Kwa Siasa Za Bongo Bora Uwe Kimya Tu Uondokane Na Ujahilia.
 
Tangia nijiunge na JF sijawahi kuona mashahiri yaliyoenda shule kama haya. Wewe ni hazina kubwa ya nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…