Enzi za Mzee mwinyi na Uruksa wake

Aisee, sisi tumechelewa sana wenzetu waganda wana 50,000/-, nzuri sana kwa kuhongea, unapiga noti mbili una maliza kazi haupati maumivu ya kuhesabu noti 10 za 10,000/-
 
Ni historia yetu. Inatuonyesha tumetoka wapi. Tuienzi!
 
mi nimeikuta mia 200 na mia 500 ndo zinaishia ishia dah!!
 
Wapi buku mbili ya enzi za ruksa, Hata kunywea nyagi ilikuwa inatosha, na chenji inarudi. Leo hii toa buku mbili uone kama mada yako haijaamishiwa FORUM la kujichua
 
Wapi buku mbili ya enzi za ruksa, Hata kunywea nyagi ilikuwa inatosha, na chenji inarudi. Leo hii toa buku mbili uone kama mada yako haijaamishiwa FORUM la kujichua
[emoji23][emoji23] kabisa aisee.
 
Kulikuwa nasbabu gani mzee mkapa kubadili noti nakutoa picha ya mzee mwinyi?nauliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…