duhh hiyo namba 725, kwa wale ambao bado walikuwa vijijini, konda na dereva ni huyohuyo, huku anakusanya fedha kisha anaendesha. bayankata..............
hiyo radio kaseti ilikua inatumia betri ili kbana matumizi inabidi usogeze mbele au kurudisha nyuma kwa kalamu (Biki) betri zikiisha nguvu unazichemsha au kuzianika juani na mwisho kabisa unazipondaponda.......