INGENJA JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 4,990 Reaction score 4,271 Mar 10, 2014 #1 Naomba mwenye kumbukumbu ya majina hata matatu
MZIMU JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 4,058 Reaction score 1,377 Mar 10, 2014 #2 Huyu jamaa kumbe alikua na mvi tangu zamani sana!
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 605 Mar 10, 2014 #3 hiyo foleni walikuwa wanaenda wapi? kununua sukari?
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,690 Mar 10, 2014 #4 Wajad said: hiyo foleni walikuwa wanaenda wapi? kununua sukari? Click to expand... kupokea posho
kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,687 Mar 10, 2014 #5 INGENJA said: Naomba mwenye kumbukumbu ya majina hata matatu View attachment 143976 Click to expand... ...hii yawezekana ni wakati tunaingia awamu ya pili, foleni ya kupigia kura Mzee Mwinyi: ya NDIYO au HAPANA!
INGENJA said: Naomba mwenye kumbukumbu ya majina hata matatu View attachment 143976 Click to expand... ...hii yawezekana ni wakati tunaingia awamu ya pili, foleni ya kupigia kura Mzee Mwinyi: ya NDIYO au HAPANA!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Mar 10, 2014 #6 Wajad said: hiyo foleni walikuwa wanaenda wapi? kununua sukari? Click to expand... Kupiga kura ya wazi! Zidumu fikra za Baba wa Taifa!
Wajad said: hiyo foleni walikuwa wanaenda wapi? kununua sukari? Click to expand... Kupiga kura ya wazi! Zidumu fikra za Baba wa Taifa!